Mtindo na Matumizi ya Lugha Katika Muziki wa Taarab : Mifano Kutoka Taarab za Kiswahili
Ikisiri
Makala hii inajadili juu ya mtindo na matumizi ya lugha katika Muziki wa Taarab kwa kutumia mifano kutoka Taarab za Kiswahili. Kwa kutumia nadharia ya umuundo makala hii inaibua vipengele vya lugha vinavyotumika katika Taarabu, kuelezea dhima ya uteuzi wa vipengele vya lugha na kujadili dhamira zinazoibuka kutokana na matumizi ya vipengele vya lugha katika Taarab. Katika kufikia lengo hilo makala hii inajibu maswali yafuatayo; Je, ni vipengele vipi vya lugha vinavyojichomoza zaidi katika Taarab? Je ni kwa nini wasanii huamua kuteua kutumia vipengele hivyo vya lugha? Na, ni dhamira zipi zinazoibuka kutokana na matumizi ya vipengele hivyo vya lugha?
Upakuaji
Marejeleo
Beez. J. na Kolbusa. F. (2003). Kibiriti Ngoma: Gender Relation in Swahili Comics nad Taarab-Music. Stichproben, Wiener zeitschrift fur kritische afrikastudien Nr.5/2003. 3. jg
Carter, R. (1989). Directions in The Teaching and Study of English Stylistics in M.Short, (ed) Reading, Analysis and Teaching Literature NewYork: Longman Inc. Uk. 10-21
Jilala, H. (2008). The Artistic Uses of Metaphor in Constructing Meanings and Messages in New Generation Songs in Tanzania. MA Dissertation, (Unpublished) University of Dar es Salaam.
________, (2010). “Sitiari na Usawiri wa Jinsia katika Mashairi ya Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania” makala iliyowasilishwa kwenye Tamasha la Bongo Fleva Dar es Salaam.
Kahigi K.K. (1995). Lugha Katika Vitabu Vya Watoto. Katika Kahigi K.K. (mh), Kioo cha lugha: Jarida la Kiswahili, Isimu na Fasihi. Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Juzuu, Na. 1. (uk. 21-36).
Khatib, M.S. (1981). “Taarab ni Fasihi Simulizi?” Karatasi ya Semina, TUKI, Dar es Salaam.
_________. (1992). Taarab Zanzibar. Kibaha: Kibaha Printing Press
_________. (2004). Images of Love in The Swahili Taarab Lyric: Local Aspect and Grobal Influence 13 (i): 30-64 Nordic Journal of African Studies.
King’ei, G.K. (1992). Language, Culture and Communication: The Role of Swahili Taarab Songs in Kenya, 1963-1990. Ph.D. Dissertation. Department of Literature Howard University.
___________. (1996/97). Nafasi ya Nyimbo za Kiswahili za Taarab Katika Jamii ya Kisasa. Katika Kioo cha Lugha, Jarida la Kiswahili la Isimu na Fasihi. Juzuu na. 2
Lakoff, G. and Johnson, M. (1980). Metaphor We Live By. Chicago: University of Chicago Press.
Lakoff, G. and Turner, M. (1989) More Than Cool Reasons. A Field Guide to Poetic Metaphor. Chicago: University of Chicago Press.
Leech, G.N. (1969). A Linguistic Guide to English Poetry. New York: Longman Group Inc. Limited.
Leech, G.N. (1991). A Linguistic Guide to English Poetry. New York: Longman Group Inc. Limited.
Mutembei, K.A. (2001) Poetry and aids in Tanzania: Changing Metaphors and Metonymies in Haya Oral Traditions Leiden: Research School CNWS, Leiden University, (CNWS Publication no. 101).
Mwamzandi, I.Y. (2000). Performance, Carnival and The Deconstruction of Social Meaning: The Case of Taarab among the Swahili katika Makala ya Kongamano la Kimataifa Kiswahili Proceedings. TUKI Dar es salaam.
Ntarangwi. M. (2001). A Social Historical and Contextual Analysis of Popular Music Perfomance Among The Swahili of Mombasa Kenya. University of Califonia.
Senkoro, F.E.M.K (2003). “Rethinking Popular Arts and Culture in 21st Century East Africa”. MakalaYaliyowasilishwa Katika Maadhimisho ya 30 ya CODESRIA.
Wamitila, W. K. (2003). Kamusi ya Fasihi: Istilahi na Nadharia. Nairobi: Focus Publication
Ltd.
Marejeo kutoka katika Kanda na CD
Yusuph Mzee (2010) “VIP”. Jahazi Taarab CD
Mwanaidi (?) “Pakacha”. East African melody
Amar Q (?) “Kitu Mapenzi”. Dar es Salaam morden taarab
Khadija Yusuph (?) “Riziki Mwanzo wa Chuki”. Jahazi
Mwanaidi (?) “Ng’ombe wa Maskini Hazai”. Jahazi Morden Taarab
Isna Ramadhani (?) “Tugawane Ustaarab”. Jahazi Morden Taarab
Miriam Amor (?) “Choko Choko”. Jahazi Morden Taarab
Copyright (c) 2025 Felix Kwame Sosoo

This work is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 International License.