Athari za Ubadilishaji Msimbo Kanisani kwa Wasikilizaji: Mifano Kutoka katika Mahubiri ya Mchungaji Wilbroad Mastai
Ikisiri
Utafiti huu ulihusu athari za ubadilishaji msimbo kanisani kwa kuchunguza mahubiri ya Mchungaji Wilbroad Mastai. Lengo la utafiti lilikuwa kubainisha athari za ubadilishaji msimbo kwa wasikilizaji wa mahubiri ya Mchungaji Wilbroad Mastai. Data za utafiti huu zilikusanywa kwa njia ya hojaji katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, kata ya Kimara, Manispaa ya Ubungo jijini Dar es salaam. Kadhalika utafiti huu uliongozwa na Nadharia ya Maki ya Carol Myers-Scotton (1993). Utafiti ulitumia usampulishaji nasibu tabakishi kuwapata watoa taarifa hamsini (50). Matokeo ya utafiti yalionesha kuwa wasikilizaji wanapata athari chanya (41.2%) na hasi (58.8%) kutokana na ubadilishaji msimbo katika mahubiri ya Mchungaji Wilbroad Mastai. Kwa hiyo, kutokana na matokeo ya utafiti huu ni wazi kwamba ubadilishaji msimbo katika mahubiri ni jambo lisilokubalika kwa wengi. Hii ni kutokana na athari hasi kuwa katika kiwango cha juu ukilinganisha na athari chanya. Aidha, utafiti huu ulipendekeza kwamba tafiti zingine zifanyike kuhusu sababu za ubadilishaji msimbo katika mahubiri ya Mchungaji Wilbroad Mastai pamoja na kuchunguza athari za ubadilishaji msimbo katika dini zingine
Upakuaji
Marejeleo
Abdollah, A., Rahmany, R., & Malek, A. (2015). The effects of intra sentential, inter sentential and tag sentential switching on teaching grammar. Cumhuriyet Science Journal, 36(3), 848-868.
Ahmad, B.H. (2009). Teachers’ code switching in classroom instructions for low English proficient learners. English Language Teaching, 2(2), 49-55.
Al-Haj Eid, A.O. (2019). A sociolinguistic analysis of diglossic code switching in religious discourse by preachers of Friday sermons in Jordan. Journal of Humunities and Social Sciences Reviews, 7(5), 340-351.
Alsalami, I. A. (20121). Arabic – English code switching among Saudi speakers. Arab World English Journal, 12 (4), 118-131.
Akter, S. M; Mohiuddin, G. M; & Johes, M. H. U. (2024). Code switching in television advertisements in Bangladesh: Features and facts. CenRaPS Journal of Social Sciences, 5(2), 92-106. Doi: https://doi.org/10.46291/cenraps. V5i2.105.
Buliba, A., Njogu, K., & Mwihaki, A. (2006). Isimujamii kwa wanafunzi wa Kiswahili. Jomo Kenyatta Foundation.
Cenoz, J. (2013). Defining multilingualism. Annual Review of Applied Linguistics, 33, 3-18.
Dorcas, R. (2013). Impacts of code switching on teaching and learning in secondary schools in Dar es Salaam region, Tanzania [Unpublished master’s dissertation]. University of Dar es Salaam.
Dladla, P.C. (2017). Code switching during church sermons: Implications on language development [Unpublished master’s dissertation]. Kwanzul-Natal University.
Ezeh, G. N; Umeheh, A. I. & Anyanwu, C. E. (2022). Code switching and code mixing in teaching and learning of English as a second language: Building on knowledge. English Language Teaching, 15(9), 106-113.
Faki, H. M. (2018). Matumizi ya lugha tandawazi katika mitandao ya kijamii, changamoto katika lugha ya Kiswahili [Tasinifu ya shahada ya uzamili]. Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Fayez, A. (2020). Code switching in religious discourse in Egypt: The case of Moez Masoud. AAKJ, 23(75), 475-517.
Han, H. (2011). Social inclusion through multilingual ideologies, policies and practices: A case study of minority church. International Journal of Bilingual Education and Bilingualism, 14, 643-668.
Hary, D. T. (2018). Code-switching and code-mixing sociolinguistics. Journal Ilmial Kependidikan, 11, 87-98.
Johanes, J. (2017). The influence of code switching and code mixing on learning English language in secondary schools: The case of Rombo district [Unpublished master’s dissertation]. Open University of Tanzania.
Kamal, M. A. A. & Ramly, B. (2022). The effects of code switching in English language classroom during online distance learning. International Journal of Academic Research in Progressive Education and Development. 11(3), 1563-1583.
Kambey, I. L., & Vuzo, S. M. (2022). Perceptions of education stakeholders on use of code switching in English foreign language classroom in primary schools in Tanzania. Huria Journal, 29(1), 192-213.
Kassim, J.S. (2017). Kuchunguza athari ya kubadili msimbo katika mawasiliano: Kusini mwa kisiwa cha Pemba [Tasinifu ya shahada ya uzamili]. Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Kapinga, Z. (2013). Ubadilishaji msimbo kwa watangazaji wa redio na runinga na athari zake kwa wasikilizaji [Tasinifu ya shahada ya uzamili]. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Kididi, S. Z. (2016). Mtazamo wa wasikilizaji wa redio kuhusu ubadilishaji msimbo katika utangazaji wa redio: Mifano kutoka redio Ebony Fm na redio Country Fm katika Manispaa ya Iringa [Tasinifu ya shahada ya uzamili]. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
King’ei, K. (2010). Misingi ya isimujamii. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili.
Mabonga, I. (2023). Tathmini ya kiwango cha ubadilishaji msimbo katika vituo vya moduli ya masafa Mulembe na moduli ya masafa ya Sulwe [Tasinifu ya shahada ya uzamili]. Chuo Kikuu cha Kenyatta.
Makoe, P., & Mckinney, C. (2014). Linguistic ideologies in multilingual South African sub urban schools. Journal of Multilingual and Multicultural Development, 35(7): 658-678.
Makulloluwa, E. (2013). Code switching by teachers in the second language classroom. International Journal of Arts and Social Sciences, 6(3): 581-598.
Martine, M. D. (2018). An assessment of the impacts of code switching on students’ proficiency in Tanzania. A case study of Muleba district [Dissertation master’s of Administration, Planning and Policy Studies]. Open University of Tanzania.
Memory, D. N., Nkengbeza, D. & Liswaniso, M. C. (2018). The effects of code switching on English language teaching and learning at two schools in Sibbinda circuit. International Journal of English Language Teaching, 6(5), 56-68.
Mohamed, S.S. (2020). Ubadilishaji msimbo katika kujifunza na kufundisha Kiswahili kwa wageni [Tasinifu ya shahada ya uzamili]. Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar.
Mkilima, F. (2021). Uchanganuzi wa ubadilishaji na uchanganyaji msimbo katika nyimbo za asili nchini Tanzania. Mifano kutoka katika nyimbo za kabila la Wamatengo. Mnyampala, 2(1), 65-82.
Mtesigwa, K. (2016). Ubadilishaji msimbo kwa walimu na athari zake kwa wanafunzi: Mifano kutoka shule za sekondari za wilaya ya Kinondoni [Tasinifu ya shahada ya uzamili]. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Sokoyet, M. (2017). Effects of code switching in English language teaching in public primary schools among the Maasai in Tanzania: A case study in Simanjiro district council [Unpublished master’s dissertation]. Mzumbe University.
Sylivester, J. (2011). Ubadilishaji msimbo na athari zake kwa wasikilizaji [Tasinifu ya shahada ya uzamili]. Chuo Kikuu cha Dar es salaam.
TUKI (2004). Kamusi ya Kiswahili sanifu.
Wanjiru, T.W. (2014). Matumizi ya lugha katika kanisa katoliki: Uchanganuzi wa ubadilishaji msimbo katika mahubiri [Tasinifu ya shahada ya uzamili]. Chuo Kikuu cha Nairobi.
Wanjugu, V. (2010). Sababu na athari ubadilishaji msimbo shuleni: Utafiti katika shule ya upili ya Akiba [(Tasinifu ya uzamili]. Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Wardhaugh, R. (2006). An Introduction to Sociolinguistic (5th ed.). Blackwell Publishing.
Yun, S. (2009). The socializing role of codes and code switching among Korean children in the US. [Doctoral thesis]. Oklahoma University.
Copyright (c) 2025 Amulike Abraham Mwampamba

This work is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 International License.