Mchango wa Ukafsiri katika Kukuza Isimu-Kokotozi: Mfano wa Nyimbo za Injili za Ambassadors of Christ na The Saints Ministers
Résumé
Ukafsiri ni taaluma muhimu katika tasnia ya isimu kokotozi ya Kiswahili na katika ufanikishaji wa mawasiliano. Aidha, taaluma ya ukafsiri inayohusu uhawilishaji wa ujumbe ama wa matini andishi kwenda mazungumzo. Au kutoka mazungumzo na kwenda katika maandishi. Imetekeleza jukumu hili la mawasiliano kwa njia ya kipekee kupitia Tehama. Katika karne hii ya 21, ukafsiri umetumia Teknolojia habari na mawasiliano (kuanzia sasa, Tehama) kama jukwaa la kutekeleza mawasiliano kwa umma mpana na kwa wakati mfupi iwezekanavyo. Aidha, lugha mbalimbali zimekuwa zikitumika na hata kutafsiriwa na zingine kukalimaniwa kwa lugha lengwa kwa minajili ya kufanikisha mawasiliano. Hii inaonesha kuwa kumekuwa na mshawasha wa kutaka kufikia idadi kubwa ya hadhira inayojua kusoma na isiyojua kusoma kwa lugha wanazozielewa. Makala hii inaongozwa na nadharia ya Ulinganifu Amilifu na ya Mawasiliano kutathmini nafasi ya Tehama katika kukuza na kuendeleza Kiswahili hasa katika Ukanda wa Afrika Mashariki huku ikijikita katika ukafsiri wa nyimbo za Ambassadors of Christ na The Saints Ministers zilizokafsiriwa kutoka Kiswahili hadi Kiingereza. Utafiti huu ulifamywa Maktabani. Upekuzi Wa vyanzo vya Utafiti pamoja na vitabu, kusikiza Kanda za video, tasnifu na wavuti na Kisha kuwasilisha kwa maelezo ya kinathari. Tehama ilisaidia kuondoa utata wa ulinganifu wa maana katika Matini chanzi kwenda Matini lengwa kwa kuambatanisha picha, kutumia fonti Tofautitofauti, alama za uakifishaji kama vile hisi, maswali ya balagha, lugha ishara na hata miondoko ya waimbaji ili kusaidia kukuza uelewa wa hadhira pokezi. Inatarajiwa kwamba utafiti utaongeza maarifa ya ukafsiri, usomaji na uhakiki wa kazi zilizokafsiriwa na kuwafaidi Wanafunzi, Wakafsiri, Walimu na Watafiti wa baadaye
##plugins.generic.usageStats.downloads##
Références
Adoyo, P. (1995). An investigation of Kenyan sign language development. (Unpublished master's dissertation). University of British Columbia, UK.
Adrienne, W. (2016). The psychology of fonts and their impact on conversions. Udullify.Com.
Ashton, M. C. (2003). Is emotional intelligence a valuable construct? Ms of Queensland Business School Publishers.
Burnetts, D., & Sandra, M. (2000). Introduction to integrated marketing communications. Pearson Education.
Cardford, J. C. (1965). A linguistic theory of translation. Oxford University Press.
Chukwu, D. I. (2010). Graphological elegance of English punctuation notation. Journal of Religion and Relations, 1(3).
Crystal, D. (1995). The Cambridge encyclopedia of language. Cambridge University Press.
Crystal, D. (2003). English as a global language (2nd ed.). Cambridge University Press.
Dunn, S. W., & Barban, A. M. (1986). Advertising: Its role in modern marketing (6th ed.). The Dryden Press.
Eco, U. (1984). Semiotics and the philosophy of language. Macmillan Press.
Esthope, M. (1992). A critical and cultural theory reader. Open University Press.
Halliday, M. A. K. (1985). Explorations in the function of language. Edward Arnold.
Hassan, S., & Elham, M. (2012). The effects of text typographical features on legibility comprehension and retrieval of EFL learners. English Language Teaching, 5(8).
Jaret, S. (2016). Quantitative analysis of font types on reading comprehension. (Doctoral dissertation, Clemson University).
Kandagor, M. (2011). Uchunganuzi wa jumbe fupi katika mawasiliano ya rununu: Mtazamo wa kisajili [An analysis of short messages in mobile communication: A stylistic perspective]. (Unpublished doctoral dissertation). Moi University, Kenya.
Landar, H. (1966). Language and culture. Oxford University Press.
Leech, G. (1983). Principles of pragmatics. Longman.
Massamba, D. P. B. (2004). Kamusi ya isimu na falsafa ya Lugha [Dictionary of linguistics and philosophy of language]. TUKI.
Mbiti, J. S. (1969). African religion and philosophy (pp. 108-109). East African Educational Publishers.
Meyer, C. F. (1989). Grammar and its application in the composition classroom. Teaching Writing, 7(1), 1–11. https://journals.iupui.edu/index.php/teachingwriting/article/view/1018/1004
Mlacha, S. (1995). Fasihi Simulizi na usuli wa Historia ya Pemba [Oral literature and the historical background of Pemba]. In Lugha, utamaduni na fasihi simulizi ya Kiswahili (pp. 16–26). TUKI/ITAA.
Mohammed, H. (2008). Grammar and mechanics of writing in academics: A university handbook. Mzumbe Book Project.
Muhochi, E. (2002). Kiswahili na vyombo vya habari nchini Kenya: Matatizo katika matumizi ya lugha [Kiswahili and the media in Kenya: Problems in language use]. Oxford University Press.
Msanjila, S. (2002). The future of Kisafwa language: The case study of Ituha village in Tanzania. Journal of Asian and African Studies, 68, 161–171.
Newmark, P. (1981). A textbook of translation. Prentice Hall International.
Newmark, P. (1988). Approaches to translation. Prentice Hall International.
Nida, E. A. (1964). Towards a science of translating. E.J. Brill.
Norton, S., & Green, B. (2002). Essay essentials with reading (Vol. 3). Oxford University Press.
Onyango, J. O. (1990). Mielekeo ya wasomi kuhusu matumizi ya lugha Nchini Kenya [Attitudes of scholars on language use in Kenya]. (Unpublished master's thesis). Kenyatta University.
Saussure, F. (1974). A course in general linguistics. Philosophical Library.
Senkoro, F. E. M. K. (1982). Fasihi [Literature]. Press and Publicity Centre.
Senkoro, F. E. M. K. (1988). Ushairi: Nadharia na tahakiki [Poetry: Theory and criticism]. Dar es Salaam University Press.
Severin, W. J., & Tankard, J. W. (2001). Communication theories: Origin, methods, and uses in the media. Longman.
Simiyu, F. S. (2011). Misingi ya ukalimani na tafsiri [Principles of interpretation and translation]. Sengereti Educational Publisher.
TUKI. (2009). Kamusi ya Kiswahili sanifu [Standard Kiswahili dictionary]. Oxford University Press.
Virginia, P., & McKee, C. (1989). The sociolinguistic situation of natural sign languages. Oxford University Press.
Waldhorn, A., & Zeiger, A. (1980). English made simple. W.H. Allen.
Yeibo, E. (2014). Graphological foregrounding in Chimamanda Adichie’s Purple Hibiscus. International Journal of Language and Linguistics, 2(4), 118–122.
Copyright (c) 2025 Ayub Oyimba Barasa, John Kirimi M’raiji, Fred Simiyu Wanjala

Ce travail est disponible sous la licence Creative Commons Attribution 4.0 International .