Sitiari za Kiafya Katika Fasihi ya Kiswahili ya Watoto: Mfano wa Nimefufuka, Pendo Katika Shari ya Sitaki Iwe Siri
Ikisiri
Fasihi ya Kiswahili ya watoto imechangia katika kuelimisha jamii kuhusu masuala ya kiafya yanayoiathiri kama vile maradhi na usafi. Kwa jinsi hii vitabu mbalimbali vya Fasihi ya Kiswahili ya Watoto vimeandikwa kuhusu masuala hayo. Hii ni kwa sababu afya ni muhimu katika maendeleo ya jamii na katika kuafikiwa kwa maendeleo endelevu. Makala hii ilinuia kujadili aina za sitiari za kiafya katika matini teule na nafasi yake katika kuchanganua masuala ya kiafya. Msisitizo ulikuwa katika kubainisha aina za sitiari zilizotumika na katathmini ujumbe unaowasilishwa na sitiari hizi katika kukabiliana na changamoto za kiafya. Makala hii iliongozwa na Nadharia Changanuzi ya Sitiari ya Dhana inayofafanua aina za sitiari zinazotumika katika kazi za kifasihi na kuchanganua ujumbe unaowasilishwa. Uteuzi wa sampuli kimakusudi ulizingatiwa katika kuchanganua matini teule. Ilibanika kuwa waandishi wa matini teule walitumia aina mablimbali za sitiari za kiafya katika kuelimisha, kutahadharisha na kufahamisha jamii kuhusu dhima ya kuwa na afya bora
Upakuaji
Marejeleo
African Union Commission. (2015). Agenda 2063. The Africa we Want. African Union Commission.
Charteris-Black, J. (2004). Corpus Approaches to Critical Metaphor Analysis. Basingstoke: Palgrave Macmillan.
Fadhili, E. (2014). Kuchunguza Dhima ya Mtindo katika Tamthiliya za Kihistoria: Utafiti Linganishi wa Tamthiliya za Morani na Kinjeketile. Tasnifu ya Uzamili ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Haijachapishwa).
Hunt, P. (1999). Understanding Children’s Literature: Key Essays from the International Companion Encyclopedia of Children’s Literature. New York: Routledge.
Kobia, J. (2008). Metaphor on HIV/AIDS Discourse Among Oluluyia Speakers of Western Kenya.http://cadaad.org/ejournal Vol 2 (2): 48-66 ISSN: 1752-3079.
Kuzmina, S. (2013). Conceptual Metaphor in Syntax: Sentence Structure Level. Moderna Sprak, 2: 99- 114.
Lakoff, G. & Johnstone, M. (1980). Metaphors We Live By. Chicago: Chikago Universiy Press.
Lakoff, G. (1992). Contemporary Theory of Metaphor. In Andrew Ortony (ed.) Metaphor and. Laurie, G. (2007). The Challege of Global Health: Foreign Affairs (Council on Foreign Relations) 86 (1): 14 – 38.
Longhorn Publishers (2020). ECDE & Primary Pricelist. Nairobi: Longhorn Publishers PLC.
Longhorn Publishers (2022). Kamusi Kuu ya Kiswahili (Toleo la Tatu). Nairobi: Longhorn Publishers PLC.
Matundura, B. (2008). Sitaki iwe Siri. Nairobi: Longhorn Publishers.
Matundura, E., Kobia, J., & Mukuthuria, M. (2013). “Taswira Dunifu za Uana katika Fasihi ya Kiswahili ya Watoto,” katika Mulika, Na. 32, kur. 28-47. Dar es Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili.
Mbatiah, M. (2001). Kamusi ya Fasihi. Nairobi: Standard Textbooks Graghics and Publishing.
Ministry of Education. (2002). Primary School Education Syllabus. Nairobi: Kenya Institute of Education.
Momanyi, C. (2017). Pendo katika Shari. Nairobi: Longhorn Publishers.
.Nandwa, R. (2011). Nimefufuka! Nairobi: Longhorn Publishers.
Ngugi, P. (2014). Fasihi ya Watoto katika Kutekeleza Mahitaji ya Mtoto Kisaikolojia katika: Kiswahili Journal of the Institute of Kiswahili Studies vol. 77 (TATAKI). Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kur. 170-180.
________(2016). Usawiri wa Masuala Ibuka katika Fasihi ya Watoto: Mifano kutoka Kenya katika: Mulika, No 35. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kur.76- 86.
Ngugi, P. & Nabea, W. (2011). Children’s Literature in Kiswahili: A Stylistic Approach katika: East African Literature: Essays on Written and Oral Traditions, Logos Verlag Berlin. Kur. 223- 244.
Oberstein, K. (1996). Defining Children’s Literature and Childhood. London: Routledge.
Republic of Kenya (2007). Government of Kenya, Vision 2030. Nairobi: Government Printers.
Republic of Kenya (2010). Constitution of Kenya. Nairobi: Government Printers.
Tehseem, T., & Khan, A.B (2015). Exploring the use of Metaphors in Children Literature. A Discursive Perspective. Vol. 2 No. 2.
UNAIDS. (2023). Global HIV and AIDS Staistics- Fact Sheet. https//www.unaids.org.
Wamitila, K. (2003). Kamusi ya Fasihi: Istlahi na Nadharia. Nairobi: Focus Publishers.
_________ (2008). Kanzi ya Fasihi: Misingi ya Uchanganuzi wa Kiswahili. Nairobi: Vide – Muwa Publishers Lt d.
World Health Organization. (2003). Global Health: Todays Challenges. https//www. who.int.chapter 1.
World Health Organization. (2018). The State of Health in the WHO African Region. An Analysis of the Status of Health, Health Services and Health Systems in the context of the Sustainable Development Goals. Wold Health Organization: Regional Office for Africa.
World Health Organization. (2020). WHO EMRO |eHealth|Health topics. http://www. emro.who.int/health-topics/ehealth/
Copyright (c) 2024 Reuben Mwilaria, John Kobia, PhD, Dorcas Musyimi, PhD

This work is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 International License.