ISSN Chapishi: 2707-3467 | ISSN ya Mtandaoni: 2707-3475
DOI ya Jarida: https://doi.org/10.37284/2707-3475
Maendeleo ya Kiswahili kama lugha ni muhimu katika kukuza na kuhifadhi utamaduni wa kiasili, maarifa na dini katika mikoa inayozungumza Kiswahili barani Afrika. Jarida hili linalokaguliwa na wanarika kwa hivyo linachapisha nakala za Kiswahili tu. Nakala zinazoweza kuchapishwa chini ya jarida hili ni nakala kutoka kwa aina zote za maarifa isipokuwa zimeandikwa kwa lugha ya Kiswahili. Waandishi wanaowasilisha kwa jarida hili wanaweza kuamua kutafsiri nakala zao kwa Kiingereza na kuchapisha tafsiri katika majarida mengine yoyote tulio nayo.
PUBLISHER:
East African Nature and Science Organization,
P. O. Box 3975 - 00100, Nairobi, Kenya.
Makala
-
Ubainishaji wa Kejeli Zilizomo kwenye Nyimbo za Taarab za Khadija Kopa
-
Udhihirikaji wa Itikadi za Kisiasa Katika Midahalo ya Siasa za Uchaguzi wa 2022 Nchini Kenya Kupitia Jukwaa la Youtube
-
Sitiari Dhanifu Katika Mazungumzo ya Hafla ya Mahari Katika Jamii ya Agikuyu
-
Vigezo vya Hymes vya Mawasiliano: Uchanganuzi wa Matukio Kwenye Hafla ya Mazungumzo ya Mahari Katika Jamii ya Agikuyu
-
Mchomozo wa Sitiari ya Nambari Tatu katika Utunzi wa Euphrase Kezilahabi: Uchunguzi Kifani wa Rosa Mistika
-
Uwakilishaji wa Sifa za Ubabedume Katika Nyimbo za Maviga ya Tohara Miongoni mwa Watiriki wa Gatuzi Dogo la Hamisi, Gatuzi la Vihiga Nchini Kenya
-
Matumizi ya Filamu Katika Kufunzia Sarufi ya Kiswahili Nchini Kenya
-
Tathmini ya Athari ya Utabaka na Ukengeushi Katika Tamthilia ya Kigogo
-
Uhakiki wa Matumizi ya Uasi Kama Mkakati wa Kumkomboa Mwanamke Dhidi ya Dhuluma za Kijamii Katika Tamthilia ya Mama Ee
-
Maadili Katika Nyimbo za Harusi za Jamii ya Wanyakyusa
-
Athari za Matumizi ya Lugha-tandawazi katika Uandishi wa Kitaaluma: Mifano Kutoka Matini za Kiswahili za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, Tanzania
-
Athari za Uhamishaji wa Sauti Za Kirombo katika Ujifunzaji wa Kiswahili kama Lugha ya Pili
-
Mikakati ya Kutafsiri na Kufasiri Matini za Kidini: Mfano wa Matini Tafsiri za White
-
Kutumiya Alama za Kifasihi Kisiyasa ili Kušajiiša Mṭaji wa Kijamii: Kaďiya ya Sufi Ṁanalemba Kuvunja Upanga katika Uṭeṇḍi wa Siri Li Asrari
-
Jinsi Tamathali Mbalimbali za Usemi Zimetumika katika Mtandao wa Kijamii wa Tuita (X) Kudhihirisha Ubabe-Dume
-
Nafasi ya Fasihi katika Uzinduzi wa Jamii: Mfano wa Nyimbo za Mrisho Mpoto
-
Mbinu Zinazozingatiwa katika Kutumikiza Filamu Kufunzia Sarufi ili Kuimarisha Matokeo ya Mtihani wa Kiswahili katika Shule za upili, Nchini Kenya
-
Mbinu za Lugha Katila Ujenzi wa Ujitambuzinafsia wa Jinsia na Upembezwaji wa Mwanamke katika baadhi ya Bunilizi za Clara Momanyi na Omar Babu
-
Makosa ya Kimofofonolojia katika Kazi Andishi za Kiswahili Miongoni mwa Wanafunzi Wenye Asili ya Lugha ya Kikikuyu Katika Shule za Upili: Kahuro, Murang’a
-
Umuhimu wa Vipengele vya Kiisimu katika Kuendeleza Kazi ya Mashairi Huru
-
Matumizi ya Lugha ya Kinandi katika Kuendeleza Kilimo kupitia Vipindi vya Runinga ya Kass
-
Mandhari katika Nyimbo za Kizazi Kipya Mtandaoni Zinazohusu Mapambano Dhidi ya Dawa za Kulevya
-
Mchango wa Vitabu vya Kiada Katika Ufundishaji na Ujifundishaji wa Insha Katika Shule za Upili Nchini Kenya
-
Usawiri wa Mandhari katika Nyimbo Teule za Jadi za Jamii ya Abagusii
-
Tathmini ya Asili ma Chimbuko la Kiswahili na Nadharia ya Mwachano na Makutano ya Wabantu (Massamba, 2007)
-
Sifa Bainifu za Futuhitandao katika Kukabiliana na Afya ya Akili Miongoni mwa Wakenya
-
Taswira Chanya za Vimada katika Riwaya Teule za John Habwe: Mfano kutoka Paradiso (2005), Cheche za Moto (2008) na Safari ya Lamu (2011)
-
Nafasi ya Lugha ya Kiswahili katika Mawasiliano ya Vijana Wakati wa Harakati za Kupinga Mswada wa Fedha wa Mwaka 2024
-
Jinsia ya Mtunzi na Usawiri wa Wahusika katika Riwaya za Kiswahili: Nyuso za Mwanamke na Nguu za Jadi
-
Muundo wa Motifu ya Safari katika Riwaya za: Mzingile, Walenisi na Siku Njema
-
Jinsi Masuala ya Kijinsia Yalivyo Shughulikiwa Katika Tamthilia ya ‘Bembea ya Maisha’ kwa Kuzingatia Jinsia ya Mwandishi
-
Athari za Kifonolojia za Lugha ya Kwanza katika Kiswahili Sanifu: Mifano Kutoka Lugha ya Kigogo Nchini Tanzania
-
Umilisi wa Kiisimu katika Lugha ya Kiswahili kwa Wanafunzi wa Kitengo cha Lugha Shule za Sekondari za Burundi
-
Athari za Aina za Uchawi na Taashira zake katika Utekelezaji wa Malengo ya Elimu Nchini Kenya: Mfano wa hadithi fupi teule za kiswahili
-
Balagha Katika Hotuba za Wagombea Wawili wa Urais Kwenye Makongamano ya Wajumbe Nchini Kenya, Mwaka wa 2022
-
Kuchunguza Vizuizi Katika Ufunzaji wa Sauti na Matamshi ya Kiswahili katika Shule za Upili za Kaunti ya Murang'a, Kenya
-
Bembezi Kama Mbinu ya Uhawilishaji wa Maarifa ya Kiafrika: Mfano wa Jamii ya Watumbatu
-
Matumizi ya Ucheshi katika Tamthilia za Kitumbua Kimeingia Mchanga (Mohammed 2000) na Wingu la Kupita (Wamitila 1999)